Nahreel yuko vizuri sana pande zote ingawa sijui labda ile combination yake na Aika ndio inawa-compliment wote kwa kuwa Mesen anafanya peke yake.
Tatizo la Nahreel katika production anamuiga sana Selebobo, mwanamuziki/producer wa kiNaija mwenye ngoma ya YoYo na aliyegonga ngoma ya Yemi Alade, Johnny. Sasa sijui ndio anathibitisha jina lake!?