M makuti Member Joined Mar 23, 2011 Posts 44 Reaction score 19 Dec 27, 2015 #1 Heshima kwenu wakubwa! Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana. Shukrani!
Heshima kwenu wakubwa! Nahitaji kununua XBOX 360 controllers kama hautumii tena hata kama ni used, iwe tu inafanya kazi vizuri. Tafadhali nitumie ni-PM ahsanteni sana. Shukrani!
franco15 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 518 Reaction score 208 Dec 27, 2015 #2 Hutopata mtu humu jf hebu nenda kariakoo ukiwa unatokea kituo cha polisi upande wa kulia kuelekea kwenye round abt kuna duka lina bango la nikon hapo utamaliza shida zako
Hutopata mtu humu jf hebu nenda kariakoo ukiwa unatokea kituo cha polisi upande wa kulia kuelekea kwenye round abt kuna duka lina bango la nikon hapo utamaliza shida zako
M makuti Member Joined Mar 23, 2011 Posts 44 Reaction score 19 Dec 29, 2015 Thread starter #3 Kaka Franco, shukrani sana. nilienda na nimewaona kweli nimefanikisha. cheers!!