Wakuu habarini...
Naimani wazima wa afya tele..
Wakuu nina shida na nyimbo inaimbwa..
"when i come back home,everything gonna be alright, so mamy don't go,everything would be just fine"
Sikumbuki muimbaji na jina la nyimbo ila kipindi ninachopitia sasa kinanifanya nihitaji sana kuusikiliza huu wimbo...shukrani