Nahitaji wimbo wa when i come back home

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,009
7,305
Wakuu habarini...
Naimani wazima wa afya tele..
Wakuu nina shida na nyimbo inaimbwa..
"when i come back home,everything gonna be alright, so mamy don't go,everything would be just fine"
Sikumbuki muimbaji na jina la nyimbo ila kipindi ninachopitia sasa kinanifanya nihitaji sana kuusikiliza huu wimbo...shukrani
 
Mkuu shukrani sana!! kwahiki kipindi ninachopitia Mungu tu anajua....ubarikiwe mkuu.
 
Nimeishaupakua tayar mkuu shukrani tena... jf hamna kinachoshindikana
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom