Nahitaji Wheel Chair

Nahitaji Wheel Chair

Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
Ngoja waje kukupa muongozo.

Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size
 
Ngoja waje kukupa muongozo.

Pia ungejazia nyama basi, aina unayotaka, najua zipo za aina tofauti kulingana na size
Size kubwa kabisa naipeleka kwa mgonjwa mmoja ni mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom