Nahitaji waya wa fensi/uzio

Osmokalu

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
188
Reaction score
154
Msaada wenu wana jamvi,ninahitaji kununua(fence wire)kwajili ya uzio.Nipo Dar es salaam je nitazipata wapi na kwa bei gani nnafuu?
 
Nenda FMJ pale buguruni utapata nilishawahi nunua hapo miaka kama 3 ilopita
 
Mkuu jaribu kutafuta mawasiliano ya kiwanda Cha Cotex au Kama unaweza watembelee niliwahi sikia wanauza kwa bei ya kiwandani ingawa sijui ni Tsh ngapi.
 
Mkuu jaribu kutafuta mawasiliano ya kiwanda Cha Cotex au Kama unaweza watembelee niliwahi sikia wanauza kwa bei ya kiwandani ingawa sijui ni Tsh ngapi.
Asante mkuu,hao Cotex wako maeneo gani?
 
Asante mkuu,hao Cotex wako maeneo gani?

Bagamoyo Road Kama unaenda Tegeta kiwanda kipo katikati ya kituo cha Jogoo na Africana. Ukifika maeneo hayo tuu utakiona kipo mkono wa kushoto.
 
Nashindwa kuongea mengi ndugu zangu kwa kuwa suala la ujenzi ni suala la kiutaalamu kabisa ambalo mimi kama mtaalamu siwezi kutoa prescription directly bila kujua hitaji zima la mtu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…