Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu

Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu

jembe2015

Senior Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
118
Reaction score
71
Nahitaji watu waliosomea bima na wenye uzoefu husio pungua miaka miwili ya sekta hii,wawe na vyeti vya bima.Wawe wenyeji ktk mikoa ifuatayo, MWANZA, GEITA, MARA ,KIGOMA NA KAGERA.

Tuma CV pamoja na vyeti vya matokeo yako yaani transcript kwenda kwenye email ifuatayo bimaservices@gmail.com
 
Back
Top Bottom