Mkuu wahitaji air compressor au water pump??..maana kupata mashine yenye uwezo wa kucompress (water)liquid itakuwiaa vigumu mno.Wakuu ni wapi hii mashine naweza kupata?
Pressure washer,wacheki Karcher Mwenge au game mlimani city.Water compressor kwa ajili ya kuoshea magari au majumba mkuu
Wakuu ni wapi hii mashine naweza kupata?
Mkuu anatafuta pressure washer(kwa ajiri ya kuoshea magari na majumba),na sio water dispenser.Water dispenser zinapatikana the game ukitaka used ntafute pia