Papito KInduki
Member
- Jul 3, 2012
- 38
- 36
Habari wanajukwaa.
Mimi ninalima mazao kwa mfumo wa kutumia mbolea za asili, situmii mbolea za kisasa. Ninalima katika Green House na Open Farm.
Kwasasa mazao yangu yanakaribia kuwa tayari yaani kukomaa..
Ninatarajia kuanza kuuza Matango, Bamia, Nyanya, Hoho Nyekundu, Mapapai n.k
Ninatafuta soko la muda mrefu kama migahawa au hotel ambao wanaweza kuwa na mahitaji ya vyakula visivyooteshwa kwa mbolea za chemicals na pia zisizopuliziwa madawa yenye chemicals.
Unaweza kuwasiliana nami kwa namba ya WhatsApp +255 620 435 195.