Hayuko serious,
Duh ndugu... Nimetoka hivyo juzi. Peleka kwanza TCU then utapeleka kwa mwanasheria laterWakuu nahitaji wakili sasa hivi yasizidi masaa mawili aje anigongee muhuri wa ku certify copy ya vyeti vyangu.
Mimi nimesoma nje ya nchi sasa kuna utaratibu lazima vyeti vyangu nivipeleke TCU wakavihakiki.
Naomba msaada wako ewe wakili uliyekaribu na ninapoishi hapa MWANANYAMALA DAR ES SALAAM.
Naomba PM kisha nikupe namba za simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
TCU inatakiwa fotocopy ya vyeti vipelekwe kwa njia ya mtandao. Sharti mojawapo ni muhuri wa wakili kwenye hizo copy. Ndio maana nahitaji haraka. Please help me!Duh ndugu... Nimetoka hivyo juzi. Peleka kwanza TCU then utapeleka kwa mwanasheria later
-callmeGhost
Kiwango gani tena kibachotakiwa kipande? Yaani kutafuta wakili agonge muhuri nyaraka ni kujishusha kiwango? Mimi nadhani wewe ndio umejishusha kiwango kwa kuniambia eti niende mahakamani kugongewa muhuri wakati leo ni jumapili! We vipi? Hujaona nahitaji haraka na sasa hivi? Kuwa msomi bana....Nenda pale mahakamank utawapata. Humu JF hata kama watakuwepo tayari wameshakushusha viwango
Kiwango gani tena kibachotakiwa kipande? Yaani kutafuta wakili agonge muhuri nyaraka ni kujishusha kiwango? Mimi nadhani wewe ndio umejishusha kiwango kwa kuniambia eti niende mahakamani kugongewa muhuri wakati leo ni jumapili! We vipi? Hujaona nahitaji haraka na sasa hivi? Kuwa msomi bana....
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi wew unadhani uku JF ni kudiscus ngono tu na siasa issue muhimu kama iyo unaleta ubashite wako kama huna info za kumpa skip alichopost nenda kwenye zinazokuongezea value mijitu mingine cjui mkojeNenda pale mahakamank utawapata. Humu JF hata kama watakuwepo tayari wameshakushusha viwango
ivi wew unadhani uku JF ni kudiscus ngono tu na siasa issue muhimu kama iyo unaleta ubashite wako kama huna info za kumpa skip alichopost nenda kwenye zinazokuongezea value mijitu mingine cjui mkoje
nishapitiaga izo mambo za last minutes sana alafu mtu analeta utani bora anyamaze tuMbona povu jingi,kwani mleta mada ni mumeo?
nishapitiaga izo mambo za last minutes sana alafu mtu analeta utani bora anyamaze tu