Nahitaji wafanyakazi wa ndani 2

Nahitaji wafanyakazi wa ndani 2

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
3,533
Reaction score
1,936
Ninao uhitaji wa mabinti 2 wa kazi, kila mmoja kwa majukum yake, wa kwanza kwa ajir ya kulea watt na mwingine kupika..

Ikiwa kunamtu anajua au anauhitaji huo awasiliane nam kwa kunipm, ili nimpe mawasiliano..

Zingatia wadada hao, wawe wanajua kusoma na kuandika na ni kati ya miaka 18-22... Wawe watanzania.

Karbuni kwa wanaohitaji
 
Unaishi wapi?
Unalipa kiasi gani mshahara?
Wewe ni dalali?
Maana kwa uandishi wako Nina amini 10101% huna uwezo wa kuajiri wasichana wa kazi wawili.
 
Back
Top Bottom