P Prof Decentman JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 276 Reaction score 140 Jan 24, 2017 #1 Wadau habari zenu?? Kwa yeyote mwenye vyumba kuanzia viwili ambavyo vinafaa kufanywa madarasa naomba anijulishe. Vyumba hivyo vitatumika kwa ajili ya kufundishia wanafunzi. Tungependelea vyumba hivyo viwe wilaya ya Ilala japo hata maeneo mengine ya mkoa wa dar naweza kuja kuviangalia kama vinafaa. Kwa sababu maalum kabisa sitaweka hapa maelezo ya kutosha. Ila mwenye navyo anaweza kuweka taarifa hapa, PM au kutuma kwa email hii humble2080@yahoo.com. Huyu ndio contact person. Aksante
Wadau habari zenu?? Kwa yeyote mwenye vyumba kuanzia viwili ambavyo vinafaa kufanywa madarasa naomba anijulishe. Vyumba hivyo vitatumika kwa ajili ya kufundishia wanafunzi. Tungependelea vyumba hivyo viwe wilaya ya Ilala japo hata maeneo mengine ya mkoa wa dar naweza kuja kuviangalia kama vinafaa. Kwa sababu maalum kabisa sitaweka hapa maelezo ya kutosha. Ila mwenye navyo anaweza kuweka taarifa hapa, PM au kutuma kwa email hii humble2080@yahoo.com. Huyu ndio contact person. Aksante