Unataka vya used au vipya mkuu?Wakuu habari zenu,
Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia kama yupo anayefaham brand nzuri zaidi na imara tafadhali naomba mrejesho.
Pia ninahitaji vya kukaa pia kwa yeyote anayejua brand nzuri nitashukuru.
Grohe, geberit, castleware, cotto, hizi zote ni brand nzuri ila bei yake kidogo imechangamkaWakuu habari zenu,
Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia kama yupo anayefaham brand nzuri zaidi na imara tafadhali naomba mrejesho.
Pia ninahitaji vya kukaa pia kwa yeyote anayejua brand nzuri nitashukuru.
Vinapatikana wapiGrohe, geberit, castleware, cotto, hizi zote ni brand nzuri ila bei yake kidogo imechangamka
kuna maduka mengi tu brother nenda spanish tiles pale victoria, line hiyo hiyo kuna duka lina bango kubwa la grohe na duka lingine ni dar ceramica haya yapo kariakoo na njia ya kawe mbele kidogo ya clouds kama upo Dar es salaam .
Asante mkuukuna maduka mengi tu brother nenda spanish tiles pale victoria, line hiyo hiyo kuna duka lina bango kubwa la grohe na duka lingine ni dar ceramica haya yapo kariakoo na njia ya kawe mbele kidogo ya clouds kama upo Dar es salaam .
Mkuu hapo kwenye conceal toilet sijakuelewakaribu bro na kama ndo unajenga nakushauri weka conceal toilet utaifurahia nyumba yako,
vile ambavyo flush tank inachimbiwa ukutani ukienda kwenye hayo maduka niliyokuambia utaviona
Okayvile ambavyo flush tank inachimbiwa ukutani ukienda kwenye hayo maduka niliyokuambia utaviona
Bei yake ipojeKuna vyoo vinaitwa GROHE ndugu yangu hautajuta. Hadi wajukuu zako watakikuta
520kBei yake ipoje