Nahitaji vitabu used

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
wanaJAMII habari za Asubuhi!

Shemeji yangu (sijawai kujua ni mchumba, girlfriend ama mke wa rfk yng) anasoma MKWAWA Univ college, kaniagiza nimtafutie kitabu cha "EDUCATIONAL PSYCHOLOGY", kaenda mbali zaidi, kanitajia mpaka vichochoro ambavyo naweza pata kitabu hicho kwa hp DSM! Na mimi kwa kuanzia tu, nikawapitia wale jamaa wauza vitabu used, huwa wanamwaga chini pale PAMBA Rd, Posta Mpya, nimekipata!

Nimewahi kutafuta kitabu fulani cha DATABASE MANAGEMENT (mkate wa nguvu), ktk bookshops zote kubwa unazozijua hapa DSM, sikupata! Jamaa yng akanipeleka kwa hawa watu, nikapata, tena kipyaaaaa!

Hawa wauza vitabu vya aina mbali mbali, vikiwemo vya ngazi ya chuo kikuu, nimewaona ktk miji mingi tu, ikiwemo Arusha na Morogoro, tena kuna wakati wanauza vitabu ambavyo ktk main library za vyuo, hakuna!

Naomba mnisaidie, hawa wanatoa wapi vitabu hv?
 
sina hakika, lakimi most of the books are donated, halafu huwa ni title za zamani sana. vitabu vingi vya zamani (na vipya) unapata ebay, unauziwa lot kwa bei ya kutupa! Library zetu zimesheheni mavitabu ya zamani mpaka karaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…