Nahitaji vijana wa mauzo

Ova

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
46
Reaction score
31
Wanahitajika vijana wa kike na wa kiume 10 kujaza nafasi za kazi zilizo wazi.
Aina ya kazi:Kuuza na kusajili line za Airtel
Eneo la kazi😀ar es salam
Umri:Miaka 18 hadi 30
Uwe unaishi wilaya ya Temeke Dar es salaam(tandika,buza,mbagala nk.)
Mshahara pamoja na malipo mengine utafahamishwa ukifika ofisini.
Mwisho wa maombi ni tarehe 30/3/2018
Kwa mawasiliano zaidi piga simu:-0683374987
Karibu.
 
Mmmm ndo hayo mafinga print regestration system au?
 
Wekeni mshaara kwa hizo kazi watu tunauzoefu nazo.....
 
Akuna mshahara unalipwa kutokana na sim card ulizosajili na je uliwasajilia wameweka pesa.
 
Hivi Kuna watu bado wananunua line mpya za simu siku hizi? Naona wengi km wana-renew tu!
 
Wanahitajika vijana wa kike na wa kiume 10 kujaza nafasi za kazi zilizo wazi katika timu yetu ya mauzo.
Aina ya kazi:Kuuza na kusajili line za Airtel
Eneo la kazi😀ar es salam
Umri:Miaka 18 hadi 30
Uwe unaishi wilaya ya Temeke Dar es salaam(tandika,buza,mbagala nk.)
Mshahara pamoja na malipo mengine utafahamishwa ukifika ofisini.
Mwisho wa maombi ni tarehe 30/8/2018
Kwa mawasiliano zaidi piga simu:-0683374987
Karibu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…