Nahitaji vijana tufanye biashara Dodoma

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,808
10,493
Nimepata wazo la biashara hapa Dodoma,biashara hiyo ni kusambaza bidhaa /mahitaji muhimu kwa wateja mahali walipo,iwe ni ofisini ,nyumbani,sokoni ,vijiweni,kanisani au hata msikitini!
Mbinu tutakayotumia ni ushindani wa bei.Utaratibu huu nimaarufu sana Dsm! Malipo itakuwa ni kadri tunavyopata!
Nawakaribisha vijana wenye maono ya kupata fedha ,lakini hawana mitaji.Kumbuka kazi hii unaweza kuifanya kwa muda wa ziada ,mfano jioni baada ya kazi,unaweza kuwa fuata watu walipopumzika
Karibu Pm,tupeane anwani ya kuwasiliana!
 
Nimepata la biashara hapa Dodoma!biashara hiyo ni kusahaa kwa wsteja mahali wwalipo!
Mbinu ni ushindaniwa bei Kitu hii ,nimaarufu sana Dsm!
Karibu Pm,tupeane anwani ya kuwasiliana!
Mkuu tulia uandike vzr ueleweke
 
Back
Top Bottom