Habarini,
Nina shida na wazalishaji wa vifungashio vya viburudisho (snacks) kama vile vya chips snack, diamond karanga au kahawa!
Naona kwa Tanzania vimekuwa na ugumu kupatikana kidogo ila kama kuna mwenye ufahamu na upatikanaji wake naomba anijuze tafadhali.
Nawasilisha.