Nahitaji Vifaa vya Stationery

Nahitaji Vifaa vya Stationery

amatolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
690
Reaction score
713
Husika na mada tajwa hapo juu.

Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane
1. Photocopier Machine Mpya sio used
2. Printer epson inayotumia ink ya nje
3. Lamination and Bidding machine
Na vifaa vingine vigogo vyote vinavyohitajika stationary
Note: Photocopier ninayohitaji ni heavy duty na ziwe mbili mpya sio mtumba
Tukutane PM
 
Uko mkoa gan? Kama uko Arusha ntakupa lamination machine na baadhi ya vifaa
 
Husika na mada tajwa hapo juu.

Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane
1. Photocopier Machine Mpya sio used
2. Printer epson inayotumia ink ya nje
3. Lamination and Bidding machine
Na vifaa vingine vigogo vyote vinavyohitajika stationary
Note: Photocopier ninayohitaji ni heavy duty na ziwe mbili mpya sio mtumba
Tukutane PM
Hiyo namba mbili (Epson Printer yenye mitungi ya wino nje) ninayo.

Ikiwa bado unahitaji ni_pm.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Husika na mada tajwa hapo juu.

Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane
1. Photocopier Machine Mpya sio used
2. Printer epson inayotumia ink ya nje
3. Lamination and Bidding machine
Na vifaa vingine vigogo vyote vinavyohitajika stationary
Note: Photocopier ninayohitaji ni heavy duty na ziwe mbili mpya sio mtumba
Tukutane PM
Nina binding machine Fellowes Pulsar 300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Husika na mada tajwa hapo juu.

Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane
1. Photocopier Machine Mpya sio used
2. Printer epson inayotumia ink ya nje
3. Lamination and Bidding machine
Na vifaa vingine vigogo vyote vinavyohitajika stationary
Note: Photocopier ninayohitaji ni heavy duty na ziwe mbili mpya sio mtumba
Tukutane PM
nitafute 0716195522

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom