Macchambal
Member
- Jan 22, 2020
- 14
- 14
Wadau nisaidieni wapi naweza pata vifaa vya bakery kama Oven kubwa, Mixer na vingine vinavyo hitajika kwe biashara hii. Bila kusahau ushauri kutoka kwa yeyote mwenye experience na biashara hii.
Asanteni.
Asanteni.