Habari za saa hizi wapendwa.
Nahitaji mtu wakununua viazi mviringo kuanzia roba 40 nakuendelea.ninavyovyakutosha vinapatikana Njombe Wilaya ya
Ludewa kata ya milo. Debe moja nauzwa kwa shilingi 7000. Usafiri wa gari aina yeyote ile unafika .
Napatikana kwa namba 0767183872