Nahitaji ushauri

Nahitaji ushauri

thezila

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
25
Reaction score
2
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?
 
Umeshapata ujauzito mara ngapi?

Kwa nini hadi leo hamjaoana?

Na kwa nini unapata ujauzito pasipo kupanga?

Nina wasiwasi ushafanywa jamvi la hitma, kila mwenye makalio lazima atie sunna...
 
Girl are you dumb! Stupid or retarded??????? Perdon my lack of manners and being unnecessarily rude but come on! The guy is not just using you but abusing you in broad daylight and you doesnt have a clue!!!!!!!! POOR YOU!
 
Hana mpango na wewe......
Utatolewa mimba mpaka kizaz kisinyae,maana yaonekana unaitaka ndoa kwa mitego ya mimba.......chukua hatua!!!!!
 
ukifa ukitoa mimba yeye atakuwa na demu mwingine.
 
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?

Basic question: una elimu ya kiwango gani?
 
Aaaaaa mi vijana boyfriends hapana taka kabisa mambo gani hayo!!!!!
Muacheeeee and i think you sound stupid
 
Miaka 6............sijui umetoa mimba ngapi lol!!!!!!!!!

mnaachana halafu unapata boifurend mwingine na kizazi kimeshakongoroka.............

za kuambiwa changanya na zako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo sio elimu,hana uamuzi wa haraka.uwezi kumlazimisha mtu akuoe halafu kwanini unapata mimba hovyo?baadae ndio mnaanza kuangaika na madoc mimba azishiki..mwache tu huyo bwana mdogo wangu usikumbuke shuka asubhui..
 
ACHA UJINGA WEWE hamna ndoa hapo!miaka 6 kila mimba unatoa? UNA UNDUGU NA MUNGU?wasichana wengine mna akili gani? umeniudhi! Ukipata nyingine shukuru mungu! ACHANA NAYE HUYO SI KUKUPOTEZEA MUDA TU ANAKUHARIBIA MAISHA pia! Daah!
 
WTH??! Duh...keshakufanya laboratory eeh??!
 
ACHA UJINGA WEWE hamna ndoa hapo!miaka 6 kila mimba unatoa? UNA UNDUGU NA MUNGU?wasichana wengine mna akili gani? umeniudhi! Ukipata nyingine shukuru mungu! ACHANA NAYE HUYO SI KUKUPOTEZEA MUDA TU ANAKUHARIBIA MAISHA pia! Daah!

Munkari..mimi nimeshuhudia watu wengi sana wa aina hii..unajua wanaume wengi wakiwa na girlfriend kutimia kinga ni big no,sasa mtu akipata mimba anamwambia atoe tena bila huruma..na sikufichi wasichana wengi akikaa na mtu 3yrs anajua ndoa tayari..sasa kama mtu hana muda na wewe anaonekana mbona tatizo watoto wa kike tunajipa moyo atabadirika tu.nadhani ndio kilichomtokea huyu dada..
 
Yaan hapo unasubiri nn? Na ulishatoa ngapi? Na bado uko na uhakika wa ndoa na unatanua mipaja yako?
Duh jaribu hata kutumia akili ya kitoto cha miaka 5 !

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?

na siku akikupa ukimwi ukatoe!!!!
 
Nina mpenzi wangu ambaye nimeanza naye mahsiano takribani miaka sita lengo ni kuwa na familia yani awe baba watoto,lkn cha kushangaza kila inapotokea kupata ujauzito ananishauri nitoe je ndoa ipo jamani?

1. Una umri gani(angalau kwa makisio)?, Lengo LAKO ni yeye kuwa baba wa watoto wako,
2. Je, yeye anatambua au kukuona wewe vivyo hivyo?
3. Kama naye anakuona hivyo hivyo (mama wa familia), mlipanga/mnapanga kuwa katika mahusiano kabla ya ndoa kwa miaka mingapi?
4. Mtazamo wako katika utoaji wa mimba ukoje, pamoja na ushauri aliokupa utoe?..Baada ya kutoa mimba kwa mara ya kwanza (presuming ni ya kwake, na ulitoa zaidi ya mara moja) ulipanga/mlipanga kujikinga isitokee tena?
5. Je, unafahamika kwa familia yake, marafiki wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom