Nahitaji ushauri wenu ndugu zangu

Nahitaji ushauri wenu ndugu zangu

Bittah

Senior Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
135
Reaction score
37
Nimepata two ya 12 biology C Chemistry D na physics E naweza pata medical laboratory Bugando? Sabu nimeona TCU wanahitaji uwe na physics E chemistry C na biology D
 
Medical Lab saivi kusoma ni lazima uwe na C ya Chemistry so find alternative way.
 
Daah hapo cna alternative kaka cjui nifanyeje
 
Hapo ndio mtihani maana ufaulu umepanda mara hii halafu na TCU muongozo wao ndio unataka lazima uwe na C ya Chemistry.
 
Ila pongezi kwa kuiona hii fani watu wengi hawaioni hii kubwa wanakimbilia katika Udaktari.
 
Medical Lab kwa vyuo vya Private wanatoa Bugando na Kcmc tu kwa Tz kwa ngazi ya Degree. Maana naskia na ile ya Kcmc ipo sawa na hizi nyengine.
 
omba kiongoz, usikate tamaa...
inawezekana watu wasiione hii fan na kulingana na mahitaji serikali kupitia TCU, wakafanya adjastment kwenye admission requirements
 
Medical Lab kwa vyuo vya Private wanatoa Bugando na Kcmc tu kwa Tz kwa ngazi ya Degree. Maana naskia na ile ya Kcmc ipo sawa na hizi nyengine.

Matokeo yangu yananiruhusu kusoma kozi gani? kaka nishauri
 
Kwa fani za Afya kiukweli ni ngumu. Ila kuna fani moja ya Microbiology pale mlimani ni nzuri sana ila jiandae na competition.
Pia sua pale kuna fani kama Biotechnology and lab science na hii ya Bs food science and Technology.
 
Hizo zote ndo nmezckia leo unaweza nielezea ata kidogo
 
omba kiongoz, usikate tamaa...
inawezekana watu wasiione hii fan na kulingana na mahitaji serikali kupitia TCU, wakafanya adjastment kwenye admission requirements
Oky nashukuru kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom