Nahitaji ushauri nahisi nimelogwa.


Sherehe yangu itafungwa zizini,,nitalishwa keki na wanyama bhana.
 
......................nuorhe laana bana.....................chaa..............!!!


Unaogopa laana ngoja wakucheat kama unacheza beki utaenda mwenyewe kucheza winga
 
Unaogopa laana ngoja wakucheat kama unacheza beki utaenda mwenyewe kucheza winga

watanicheat kina nani tena.....????mbuzi,punda au ng'ombe?...............

uosofia...................nuore matatizo ifo mronyi......................

laa kucha sir...........ngitarawa Ruwa.........ifo ndotonyi nache.....Eliza,Janet,Asha n.k...........

Sio...........punda,mbuzi n.k.......................mwee...................Kyala mnunu fijo...............mwombe naye ataitika.....
atakuonyesha...................
 
Mbuzi punda na ngombe hawacheat ni kibuti cha msimu tu
 
lol hili jukwaa ni noma i wish watu wangekuwa wanavyopost vitu na picha zao halali zingekuwepo hakika tungekimbiana tungehisi wengine sio watu khaa hii post imenifanya nicheke sana na kushangaa hivi uchawi upo jamani?? au ni tatizo la kisaikolojia? sijui sana lakini
 

Ina mana sasa hivi sina chembe ya ubinadam?
 

Ngoja yakukute kwanza
 
Ina mana sasa hivi sina chembe ya ubinadam?


Ukikutana na mbuzi anawika kama jogoo na ....anakimbiza kukujike kama jogoo....utamuweka fungu gani?
...................Fungu la Mbuzi au Jogoo..........................???
 
Ushawamega wanyama na ndege wangapi mpaka sasa??
Unaonaje ladha yao compare na mademu??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…