Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 184
- 294
Mimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo.
Mtu hustler kama mimi mwanamke ambae atanifaa kwa future yaani ntakae kuja kumuoa, awe ambae hana kazi kabisa yaani anaenitegemea mimi kwa kila kitu au niwe na mwanamke ambae nimfanyakazi (muajiriwa) yaani mwisho wa mwezi anapokea sio chini ya 500K ambae naweza kuambia bhana mimi nina 1M apa unaweza kuongeza lak 5 tununue kiwanja au hata nikikwama sehemu naweza kumkopa kiasi flani cha pesa afu nikamrudishia baada ya kusolve shida yangu, yupi anaenifaa apo kati ya ambae she has nothing to offer than her body au ambae ni muajiriwa anaingiza pesa kila mwezi?
Najua humu kuna hustlers wengi ambao wameoa au wako kwenye relationship wanaweza kunipa ushauri mzuri kutokana na experience zao juu ya hili.