ni nzuri y wastani hasa kam unatumia sebuleni au chumba kikubwa yani HD mno, by the way bynunua LG,Hisense,samsung og,Tcl, hata ukikuta ni mtumba chukua , ukitaka kujua hii ni hd sogelea karibu kabisa ktk screen picha unaiona clean vile vile,rangi haifubai