👍👍Tafuta mwana saikolojia akutibu mana huo ni ugonjwa
Unaweza u-sympathy mkuu🤣🤣🤣 sema umenikumbusha mbali sana haya masuala yaMtoto anapozaliwa hua na id, ego na super ego.
Id inadeal sexual drives na aggressiveness, super ego inadeal na moral conscience na ego ina kazi ya kucheki reality kati ya id na super ego.
Yaani id inakuambia unachohitaji, ego inakuonyesha reality ya unachohitaji na super ego inadeal na morality ya unachohitaji.
Hakitakiwi chochote kuzidi katika hivyo vitatu.
Ikitokea kimezidi ndiyo unakua unajiona wewe ni zaidi ya sisi, wewe ni wewe katika mahusiano. It is a matter of time before uhusiano wako na wazazi ukaenda na maji pia.
Sasa fika ofisini kwangu Mtaa wa Congo Round about ya msimbazi ili nikupe huduma ya therapy juu ya hili swala. Unaweza nicheki kwa namba yangu pia ili nikupe huduma kwa njia ya simu.
Gharama ni nafuu.
Binafsi hata mimi naipenda ila wengine sasa ndio wanapata shida sasa shida zao mimi hazinihusu maana huwezi nilazimisha niongee na wewe iwe unataka au hutaki,kama una jambo la msingi njoo ila kama huna wala siwezi kupoteza mda wanguAisee mimi hi tabia naipenda sana hata...kwenye simu...nina namba za watu muhimu tu pamoja na marafiki wachache sana....Lakini mimi kuna kitu kilisababisha hadi niwe kwenye tabia kama hiyo..
Nachojua kunywa pombe ukiwa bar ni lazima upige stori na wakaaji wa meza zilizopo jirani nawe nisijue kwako hili likojeMara mojamoja sana
😁Umetuma thread mida mibovu, wenye akili wamelala muda huu.
Kweli 😁Tafuta pesa tu ukiwa na pesa hilo ulilonalo si tatizo kabisa....