Mtoto anapozaliwa hua na id, ego na super ego.
Id inadeal sexual drives na aggressiveness, super ego inadeal na moral conscience na ego ina kazi ya kucheki reality kati ya id na super ego.
Yaani id inakuambia unachohitaji, ego inakuonyesha reality ya unachohitaji na super ego inadeal na morality ya unachohitaji.
Hakitakiwi chochote kuzidi katika hivyo vitatu.
Ikitokea kimezidi ndiyo unakua unajiona wewe ni zaidi ya sisi, wewe ni wewe katika mahusiano. It is a matter of time before uhusiano wako na wazazi ukaenda na maji pia.
Sasa fika ofisini kwangu Mtaa wa Congo Round about ya msimbazi ili nikupe huduma ya therapy juu ya hili swala. Unaweza nicheki kwa namba yangu pia ili nikupe huduma kwa njia ya simu.
Gharama ni nafuu.