pole sana mkuu!
jaribu kutafuta dawa hii hapa ya meno. inayoitwa tiens toothpaste hii itakusaidia sana kwani hufanya yafuatayo:-
- huzuia maradhi ya meno km stomatatis, halitosis na erythrism
- huzuia meno kuoza
- inazuia maumivu ya meno na kuyafanya yawe magumu
- inaondoa acid ambyao hujificha katikat ya meno
- huzuia fizi kuvimba
- ina vitamini A na B za kutoa sumu
- huondoa harufu mbaya
kwa ushauri zaidi wa kiafya na kama ukiihitaji waweza wasiliana nami kwa:-
TEL NO. +255755569494
E-mail: ruhazwentaki@yahoo.com, ruhazwentaki@gmail.com
or visit: http://www.tiens.com, http://www.aftiens.com
pl hii dawa hata kwa watoto inaweza kutumika?
Mkuu.@Mwamgunda Kila siku unapo amka kabla ya kula kitu au kabla ya kupiga Mswaki jaribu kukinga mkojo wako usukutue ndani ya mdomo wako kama dakika 5 kisha uteme huo mkojo wako fanya hivyo kila siku asubuhi kwa muda wa siku 3 kisha njoo hapa unipe feedback.
Dr side effect ya kunywa huo uchafu kila asubuhi ni ipi?
Mi mwenyewe nina matatizo ya mēno Yani ntaifuta iyo dawa. Pia nini tatizo kwa memo kufa ganzi. Kesho naenda kuziba la pili.
Wewe unataka kujuwa Dawa yangu Side effect kama vile umeuliza wewe hiyo dawa ndugu kalagabaho Dawa zangu nitoazo hapa Jamii forums hazina Madhara kwa watumiaji Side Effect. Nenda kokote kaulize hata kwa wakemia wakuu kawaulize Dawa zangu hutaona Side Effect yoyote .Dr side effect ya kunywa huo uchafu kila asubuhi ni ipi?
Mkuu mdukuzi Hapa tuko katika kusaidiana hatuko katika kukashifiana kama huna kitu cha ku Comment bora unyamaze kimya ni vizuri zaidi kuliko ku comment maneno yako ya pumba. Mkuu kama kitu hukijuwi hapo ndipo mahali pa kujifunza ukae ukijuwa Jamii Forums ni chuo kikuu kila Elimu ukitaka utafundishwa hapa Jamii Forums ni kila kitu.yule mwalimu wa kibasila alianza hivi hivi mpaka akawa na shehena ya mikojo na kinyesi chumbani
Mkuu bamoh bora uwaambie wewe wanafikiri mimi ninasema maneno ya uongo nikitowa Dawa yangu humu jukwaani nina uhakikia kwa asilimia 100%100 intibu na kufanya kazi yake kama ninavyotaka ifanye kazi yake sibahatishi mimi kutowa Dawa ya kutibu maradhi yoyote yale.Haja ndogo inasaidia m nmeshatumia nmeshang'oa meno 9 baada ya kutumia dawa hyo sisikii tena jino lolote likiuma
.