Mwamgunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 247
- 48
Wapendwa naimani wote mu wazima wa afya ya kutosha! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, hapa nilipo nimekwisha ng'oa meno yapatayo matano na sasa nina maumivu makali ya jino japo halijatoboka. Naomba mnipe ushauri ndugu zangu maana hali hii inanitisha na nina maumivu makali sana!