Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe
Mkuu sawa lakini ngoja kwa leo uzi huu ukae hapa hapa ila siku nyingine nitafanya hivyo asanteWaombe mods wauhamishie uzi wako jukwaa la matangazo hapa si mahala pake
Mkuu nahitaji mapemasubiri mwakani
Mkuu nitakutafuta ili tufike mwafakaongeza 20,000 nikuuzia HTC wildfire iko katika hali nzuri kma uko interest ni tumie sms/ whatsapp no 0789949809
Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe