Nahitaji upande wa kupanga

Nahitaji upande wa kupanga

Joined
Mar 24, 2014
Posts
34
Reaction score
23
Habari wanajamii,,nahitaji upande wa kupanga,room moja na sitting room,na jiko km lipo,,maeneo ya kijitonyama mpaka morocco. Kwa anayeweza kunisaidia dalali nitashukuru. Asanten.
 
Habari wanajamii,,nahitaji upande wa kupanga,room moja na sitting room,na jiko km lipo,,maeneo ya kijitonyama mpaka morocco. Kwa anayeweza kunisaidia dalali nitashukuru. Asanten.

Upande wa kupanga ni aina gani ya nyumba mkuu? Ni unit/studio/granny/apartment?

Nina imani utapata tu uwe na uvumilivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom