Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi! nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!
hapo uliposema mambo ya kuvuta mil 10 kummbe ndio desire yako nakuhakikishia ccm ndo itakufaa ila kwingine hupati na hta ukipata lazimma wakutupie virago haraka sana
Na wewe umeonyesha desire ya hela sasa una tofauti gani na hao wengine?why only ccm ndo panifae kwani vyama vingine they dont take hiyo salary? mbona wameongezeana kimya kimya cjackia yoyote toka out of ccm akilalamika tumepewa hela nyingi???? thats why kama umesoma post yangu ukaelewa sitaki kupitia kwenye chama coz vyama vyote ni wanafiki tuu maslahi ya chama ndo wametanguliza mbele
Kwa sheria zilizopo sasa ndiyo ni lazima lbd katiba ibadilishwekwan lazima nipitie chama??? am mwamume
i know that ipo kwa constitution, am waiting siku ya kuoa maoni ya katiba hapa Dar nitoe dukuduku la mgombea binafsi, wasipobadlisha du sioni chama cha kugombea ingeruhusiwa kuanzisha chama chako mwenyew bila members ningeweza
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi!
Nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!!
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria ya lazima upitie chama fulani ni kikwazo kwa watanzania maana kwenye vyama wana watu 'wao' kwa maslahi ya kichama na si ya wananchi!
Nahitaji kugombea naamini ntawawakilisha wananchi wangu vizuri na pia jamani ajira ngumu lakini huko mjengoni wameongezewa nackia sasa wanavuta 10mil. kwa mwezi!![/QUO
unataka kusaidia wananchi au kwa vile ajira ni ngumu?