Mapondo Mapoka JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 274 Reaction score 135 Oct 17, 2015 #1 Habari zenu wakuu,Niko Dar,nahitaji TV nzuri nchi 25 hadi 28 kampuni Kati ya LG,Samsung, Arboder na Singsung.Nimejipanga kwa 300,000/= Karibu tuongee.
Habari zenu wakuu,Niko Dar,nahitaji TV nzuri nchi 25 hadi 28 kampuni Kati ya LG,Samsung, Arboder na Singsung.Nimejipanga kwa 300,000/= Karibu tuongee.
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,276 Oct 17, 2015 #2 Kwani mkuu hakuna kampuni nyingine kama hisense ni mzur sn
Mapondo Mapoka JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 274 Reaction score 135 Oct 17, 2015 Thread starter #3 Kaabah said: Kwani mkuu hakuna kampuni nyingine kama hisense ni mzur sn Click to expand... labda unishawawishi,ila kampuni hizo ndo naziamin zaidi.
Kaabah said: Kwani mkuu hakuna kampuni nyingine kama hisense ni mzur sn Click to expand... labda unishawawishi,ila kampuni hizo ndo naziamin zaidi.
Mosskiss Senior Member Joined Mar 22, 2011 Posts 158 Reaction score 103 Oct 18, 2015 #4 0713 799 522 nichek nkuelekeze ukachukue mpyaa kwa hela hyo