kasanga70 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 227 Reaction score 517 May 6, 2018 #1 Hi wandg nahitaji mtu mwenye turubai gumu lisilovuja lkn limetumika kwa ajili ya shughuli fulani ukubwa liwe mita 20 kwa 20 au zaidi! Mwenye nalo anipm tufanye mapatano nikiridhia tulipane ahsante!
Hi wandg nahitaji mtu mwenye turubai gumu lisilovuja lkn limetumika kwa ajili ya shughuli fulani ukubwa liwe mita 20 kwa 20 au zaidi! Mwenye nalo anipm tufanye mapatano nikiridhia tulipane ahsante!