K KIBUKUSA Member Joined Dec 13, 2013 Posts 84 Reaction score 30 Sep 27, 2016 #1 Wadau kwenye jukwaa hili natafuta component tajwa. Ni kwa ajili ya drain pump ya Indesit wixl 143s washing machine. Nipo Arusha mjini, nimetafuta kwenye maduka ya electronics bila mafanikio.
Wadau kwenye jukwaa hili natafuta component tajwa. Ni kwa ajili ya drain pump ya Indesit wixl 143s washing machine. Nipo Arusha mjini, nimetafuta kwenye maduka ya electronics bila mafanikio.