K kambipopote Senior Member Nov 15, 2010 122 22 Jul 25, 2017 #1 Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi. Nipo Iringa na trekta nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali
Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi. Nipo Iringa na trekta nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali