kambipopote
Senior Member
- Nov 15, 2010
- 121
- 22
Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali.
Hilo trekta unalitaka lini, na shamba lako linaukubwa gani!Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali.