Nahitaji Toyota IST kwa 6 Million

Nahitaji Toyota IST kwa 6 Million

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,916
Reaction score
4,168
Kama una gari tajwa hapo juu nitafute tufanye biashara

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Kama unataka gari nzuri itabidi uongeze mzigo ndugu
 
Kama unataka gari nzuri itabidi uongeze mzigo ndugu
debeecbe5d5d1e6d816d62d674408909.jpg
 
Ongeza ongeza ukiwa serious njoo pm, ila uje na 9.
 
Nipo kiongozi... napambana balaa..

Umepotea sana bhana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Waumini wamegoma kutoa sadaka wakina sakayo na shunie nimefulia acha niuze gari, nimekukumbuka babu kuna haja nikutumie namba zangu pm
 
Nipo kiongozi... napambana balaa..

Umepotea sana bhana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Jamani huu uzi ni wa kutafuta gari ya millioni sita only(awamu ya tano),michango yote ihusu gari tu
 
Waumini wamegoma kutoa sadaka wakina sakayo na shunie nimefulia acha niuze gari, nimekukumbuka babu kuna haja nikutumie namba zangu pm
Hahahah kina Sakayo wamechoka kupanda daladala... watumie kitu cheusi hicho wapeane lift na Shunie

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hahahah kina Sakayo wamechoka kupanda daladala... watumie kitu cheusi hicho wapeane lift na Shunie

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahahahahha sio kwa uchumi huu mkuu, acha niuze tu, wenyewe wapambane na hali zao.
 
i have what your looking for,,ist 2006,dark blue,,cc 1230..imported from Japan on DEC 2016,(DJR), inquire for pictures on 0713 291 947 if your inn with some adjustment in your offer.
 
Back
Top Bottom