Nahitaji tiles na bei zake

Nahitaji tiles na bei zake

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,518
Reaction score
378
Wakuu nahitaji tiles za kuweka kwenye sakafu kama box 20 hivi. Ambaye anawrza kunisaidia na kunitajia bei zake .
Thankx in advance:
 
Mkuu kama upo Dar nenda GoodOne
barabara ya Mbozi Road hapo unapata
na bei zake kirahisi sana



Ila kama uko nje ya Dar ngoja waje wataalam.
 
Back
Top Bottom