Nahitaji Taa za Chemli zile ndogo

Keagan Paul

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
518
Reaction score
3,193
Wakuu nina uhitaji wa kununua taa zile za Chemli ndogo, nimefika Kisutu, Kariakoo na Kwa Iringa nimefika Miyomboni, taa nyingi ninazokutana nazo ni zile kubwa. Mimi nahitaji kupata ile size ndogo,
 
Vijana wa .com hawato elewa nini unazungumzia hapa....
Ebu ngoja nikae nione.
 
Lengo lake sio iyo Ni taa,
Ni utoe hela ili ashughulikie Jambo lako[emoji4]
 
Una shilingi ngapi? Mimi ninayo moja used! Ina mpaka utambi wake kabisa! Kasoro tu haina mafuta ya taa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…