Nahitaji Subaru sambar ya mwaka 2002

jasiri shayo

Member
Oct 7, 2013
35
10
Habarini za sasa ndugu zangu. Nauliza kama kuna mtu anauza Subaru sambar yenye vw body kit, ya mwaka 2002.
Kama upo tuwasiliane Tafadhali, au njia ya kuipata.
Asanteni
 
Back
Top Bottom