Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 602
- 1,271
Habari za muda huu wanajamvi!
Ningependa niende moja kwa moja kwa mada husika pasi na kuwapotezea muda wa kusoma makala ndefu wakuu najua mmechoka na usiku huu
Nahitaji sticker za kubandika kwenye frem za biashara milangoni kadhalika na madirishani mithiri ya zile za salon, bank na sehem nyingine za biashara
Mwenye uwezo wa kufanya hiyo kazi naomba aje pm tufanye biashara
Pia hata nikipata abcd's za wapi naweza kwenda na nikazipata pia itanisaidia.
Location: dar es salaam
Wasalam!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app