momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,041
- 2,140
kijana anza na kujifunza uandishi wa lugha yako ya kiswahili kwanza,uandishi wako unatia ukakasi.
Shule tatzo mkuuuKiswahili "masuara" badala ya masuala.
AhsanteeeGoogle tu mkuu zipo website nyingi zinazofundisha IT online
Mkuu kwa usemi wako nimekuelewa mnoo na jamaa alitanguliza kauli zisizo badala ya kunijuza ndipo aendeleze mengine nb_ nimekuepo jf online mda mwingi ila huwa natumia muda wangu kusoma threads na kupotea huwa nafrahi lakini kama wakuta kitu hukiwezi si unapita tuuu so kujitia mjuaji mwisho nakushukuru mkuu besarNakuunga mkono kaka. Inaonekana ni mgeni kwenye maswala ya online na forums.
Mwenyewe ni software developer na nina kampuni ya kazi hiyo, na nimefaidi.
Nimejifunza miaka mingi (4-5) na kwa haraka, huyu mwenzetu mwenye miaka furan ni mkorofi kidogo.
Unataka kuwa programmer ama software developer?
Zingatia haya:
1. Uwe mwepesi kukosea lakini mwepesi zaidi kujifunza kutokana na makosa yako.
2. Uwe mpole. Sijui unafanya ishu gani lakini ili ufundishike, lazima utulie, usikilize na ujifunze
3. Kuwa makini kwenye lugha. Hii fani kama walivyosema wengine ni pana. Hata hivyo, inatumia lugha, (programming languages). Maanake, lugha usipoimudu, hakuna software ng'o! Hizo nukta, space, spelling na mengine ndo msingi wa software yoyote.
4. Sio kila aliyepost unamjibu. Wengine ni utani, wengine bas tu. So uwe mpole
5. Software na upana wake ni fani nzuri sana na inalipa ukiwa hodari kwenye kazi yako.
[HASHTAG]#makinika[/HASHTAG]
Nashukuru mkuuWe jamaa unataka kujifunza afu hutaki kukosolewa, kwenye ishu za Software kuna kitu kinaitwa program language so kama lugha uliozaliwa nayo inakushinda cidhan kama ya malkia utaiweza, maana utaambiwa andika VAR we utaandka VAL
Kimsela kina jazba kishenz..... Kina mihasira kama koboko. Nikisengerema sana hiki.sasa hiyo fani unayotaka kujifunza kama mahapa flani ikiwa umekosea atakaejitolea kukurekebisha si atakoga mitusi mpaka akome
AsanteKimsela kina jazba kishenz..... Kina mihasira kama koboko. Nikisengerema sana hiki.
Kumbe unajua kuandika vizuri hivi? Sasa zile ra-ra mbona hazipo tena? Critics sometimes zinasaidia sana.Ukikuta thread haikupendezi unapoa kama maji ya mtungini usijitie mjuaji kumbe nikawa mjuaji zaidi yako toa ujinga wako ungenijibu nilchoomba na kufuata na kauli Zako ningekuona wa busara tatzo tecno wameleta simu nyingi mpaka machizi like u mnazo tuliza makende yako kwanza
unataka uwe coder?Jaman mim ni kijana mwenye umri furan nimesoma mpaka kidato cha nne nahitaji jikwamua kwa kusomea masuara ya software sabu ya kujkwamua ma mengi na kiuharisia napenda sana masuara ya mitandaon kwa yyeyote ajuae au aliewah kusomea huu mfumo na akafanikiwa anisaidie nataka somea online nb_kama wajua na costing zake waweza nisaidia nawasirisha.
Kelvin miho
If member
0755161970
Haya bhanaKumbe unajua kuandika vizuri hivi? Sasa zile ra-ra mbona hazipo tena? Critics sometimes zinasaidia sana.
Haya piga kazi sasa
Vyovyote mkuuunataka uwe coder?
Goal setting:Goals should be specific, measurable, attainable, realistic and timely. In other words, in the goal setting process make sure you use the SMART system.

Asante but nin lengo lako hasa Mkuu?Goal setting:Goals should be specific, measurable, attainable, realistic and timely. In other words, in the goal setting process make sure you use the SMART system.
Sisi tumekushauri jifunze lugha yako sahihi ya kiswahili, usichanganye lugha asili na kiswahili halafu ukasema umeandika kiswahili.Mkuu kwa usemi wako nimekuelewa mnoo na jamaa alitanguliza kauli zisizo badala ya kunijuza ndipo aendeleze mengine nb_ nimekuepo jf online mda mwingi ila huwa natumia muda wangu kusoma threads na kupotea huwa nafrahi lakini kama wakuta kitu hukiwezi si unapita tuuu so kujitia mjuaji mwisho nakushukuru mkuu besar
ShukranSisi tumekushauri jifunze lugha yako sahihi ya kiswahili, usichanganye lugha asili na kiswahili halafu ukasema umeandika kiswahili.
Usitokwe povu bro
Kimsela kina jazba kishenz..... Kina mihasira kama koboko. Nikisengerema sana hiki.