jacket Member Joined Nov 26, 2011 Posts 7 Reaction score 4 Sep 23, 2021 #1 Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali.
rommy shabby JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 1,122 Reaction score 1,313 Sep 23, 2021 #2 Nenda stereo ila madalali hawakwepeki jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand...
Nenda stereo ila madalali hawakwepeki jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand...
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,148 Reaction score 1,851 Sep 29, 2021 #3 Soko zur la nazi pia lipo mwanza
Luvh Member Joined May 8, 2021 Posts 56 Reaction score 91 Sep 29, 2021 #4 jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... Peleka iringa mjin,mafinga,mwanza Nazi adimu Sana Nazi ndogo moja huko ni elfu moja hadi 2000
jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... Peleka iringa mjin,mafinga,mwanza Nazi adimu Sana Nazi ndogo moja huko ni elfu moja hadi 2000
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,909 Reaction score 4,683 Sep 29, 2021 #5 jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingi
jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingi
jacket Member Joined Nov 26, 2011 Posts 7 Reaction score 4 Oct 1, 2021 Thread starter #6 malembeka18 said: Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingi Click to expand...
jacket Member Joined Nov 26, 2011 Posts 7 Reaction score 4 Oct 1, 2021 Thread starter #7 malembeka18 said: Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingi Click to expand... Njoo tuelewane mkuu hatutashindwana!
malembeka18 said: Unauzaje Nazi jumla mipia nahitaji Nazi nyingi Click to expand... Njoo tuelewane mkuu hatutashindwana!
Jonsonjohn JF-Expert Member Joined Nov 19, 2019 Posts 281 Reaction score 356 Oct 2, 2021 #8 jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... digxam.com - Diese Website steht zum Verkauf! - Informationen zum Thema digxam. Diese Website steht zum Verkauf! digxam.com ist die beste Quelle für alle Informationen die Sie suchen. Von allgemeinen Themen bis hin zu speziellen Sachverhalten, finden Sie auf digxam.com alles. Wir hoffen, dass Sie hier das Gesuchte finden! digxam.com
jacket said: Wadau naomba kufahamu nalipateje soko zuri la nazi. Kiufupi Nina nazi zaidi ya 20,000 natafuta soko lake. Nazi ni Bora kutoka Ng’apa Mkoani Lindi. Mwenye uzoefu na zao hili tafadhali. Click to expand... digxam.com - Diese Website steht zum Verkauf! - Informationen zum Thema digxam. Diese Website steht zum Verkauf! digxam.com ist die beste Quelle für alle Informationen die Sie suchen. Von allgemeinen Themen bis hin zu speziellen Sachverhalten, finden Sie auf digxam.com alles. Wir hoffen, dass Sie hier das Gesuchte finden! digxam.com
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,370 Reaction score 196,074 Oct 2, 2021 #9 Ngoja waje kukupa muongozo...