Nahitaji soko la unga wa dona na sembe

Nahitaji soko la unga wa dona na sembe

abu-luqman

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
21
Reaction score
10
Ninakuletea popote ulipo. Kwa kila atayenitafutia wateja wa kuanzia mifuko 400 nitampa shilingi laki mbili(200000/=) kama kamisheni. Hata kwa nje ya nchi ikibidi. Bei zetu ni kama ifuatavyo:-

Sembe kg. 5-4000/=,kg. 10-8000/=na kg. 25-16000/=Dona kg5-3500/=kg10-7000/=na kg25-15,000/=karibu sana...
MAWASILIANO
0767148085 & 0686148085
 
punguza bei kidogo, mahindi yapo chini kwa sasa, na bado unauza pumba itakufanya uteke soko.
 
Ninakuletea popote ulipo. Kwa kila atayenitafutia wateja wa kuanzia mifuko 400 nitampa shilingi laki mbili(200000/=) kama kamisheni. Hata kwa nje ya nchi ikibidi. Bei zetu ni kama ifuatavyo:-

Sembe kg. 5-4000/=,kg. 10-8000/=na kg. 25-16000/=Dona kg5-3500/=kg10-7000/=na kg25-15,000/=karibu sana...
MAWASILIANO
0767148085 & 0686148085

Punguza bei boss
Wenzako wanauza 5 kwa 3500 na 25kg kwa 15
 
Ninakuletea popote ulipo. Kwa kila atayenitafutia wateja wa kuanzia mifuko 400 nitampa shilingi laki mbili(200000/=) kama kamisheni. Hata kwa nje ya nchi ikibidi. Bei zetu ni kama ifuatavyo:-

Sembe kg. 5-4000/=,kg. 10-8000/=na kg. 25-16000/=Dona kg5-3500/=kg10-7000/=na kg25-15,000/=karibu sana...
MAWASILIANO
0767148085 & 0686148085
Sasa hiyo mbona ndo bei ya rejareja mitaani!!? Muuzaji hapati faida hata mia, kg ya unga ni sh 800
 
Mbona hupark kilo moja moja mkuu alafu usupply kwa mangi kuliko kuanzia 5kg iliuende faster
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom