Nahitaji soda Pepsi

Nahitaji soda Pepsi

Kitoga

Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
28
Reaction score
2
Wapendwa,
Bidhaa hii imekua adimu kwa baadhi ya maeneo.Ninahitaji cret 50 za soda kila baada ya siku moja ama mbili.Nipo Pugu kajiungeni.Bei yangu ya kununua kila creti ni Tsh 9300/=Tuwasiliane kwa number 0625468446.
Karibuni
 
Back
Top Bottom