Nahitaji smartphone

Nahitaji smartphone

mkuu kwa 250 nakupa Huawei P6
Ni nyeupe in colour
Ram 2GB
Camera ya nyuma 8MP
Camere ya mbele 5MP

Haina mkwaruzo hata mmoja. Ina mwezi mmoja tu na ina kila kitu chake. earphone charger cover hadi na box lake nakupa. ni PM
 
Wafrika bwana. yeye kaweka choice yake, Sony au Sumsung. lini miafrka tutaendelea?
 
Tutaendela kama kisima kitakuwa katika mpango uliopitishwa mahususi kabisa katika kupambana na malaria sugu maana hata mimi sikujua kwanini lile gari lilizima. Ila waandishi wa habari wali wahi kufika mapema sana.
 
ha ha ha ha ha ha
 
Wee kweli katuni aisee, safi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom