Baraka sheni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 473
- 198
Kasema nenda pm, halafu pia hii bei yako watu watakuja kukwambia w5 ina fingerprint na kamera nzuri na siyo 170IPO j8 Ila 170k ukiongeza nisake 0625533419 ni Kali hatari
IPO j8 Ila 170k ukiongeza nisake 0625533419 ni Kali hatari
we unazani j8 na w5 zibafanana zipo tofauti na kila moja INA bei yake na j8 IPO juuKasema nenda pm, halafu pia hii bei yako watu watakuja kukwambia w5 ina fingerprint na kamera nzuri na siyo 170
hio sipunguzi poaMkuu hy ipo cash
J8 ipo juu kwa spefication gani ilizo nazo?we unazani j8 na w5 zibafanana zipo tofauti na kila moja INA bei yake na j8 IPO juu
ram 2gbJ8 ipo juu kwa spefication gani ilizo nazo?
Nafikiri umemaanisha camera 13mp siyo gb.ram 2gb
memory 16
camera 13gb
Seems unajua unachokifanya ...Nafikiri umemaanisha camera 13mp siyo gb.
J8 imeipita w5 ram tu.
Memory ziko sawa.
Camera ziko sawa mbele na nyuma, ila kamera siyo namba ni uwezo. 13mp ya tecno j8 ni ndogo kwa tecno w5, picha za gizani za w5 zina ubora mkubwa kuliko j8, picha za nje mchana zina edge na natural beauty nzuri kuliko j8.
W5 imeipita j8 kwenye Android version, wakati j8 ina 5, w5 ina 6.
W5 ina fingerprint sensor, j8 haina.
J8 ni ya kizamani w5 imechukua cutting zote za simu za miaka hii.
Pia, humu kuna uzi special wa wauza simu, j8 kuna mtu alikua anaiuza 130.
Kwa bei yako labda umkamate mnyasa