Nahitaji simujanja bajeti yangu ni 125,000

Nahitaji simujanja bajeti yangu ni 125,000

King0001

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
200
Reaction score
285
Wakuu

Nimejikakamua sana nimepata 125,000. Nahitaji simujanja iliyonyooka kwa bajeti hiyo (125,000 za awamu ya 5).

Ukinipatia Sony Xperia itakuwa vema ingawa pia zingine zakaribishwa.
 
Ipo s4 mini ninayo kama unaiitaji ..... tatizo la simu hyo ni mkwaruzo kidogo kwa kioo. Kama uko serious ni D.M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom