El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Habari wana jf.
Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo katika hali nzuri ani pm
Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo katika hali nzuri ani pm
Hbr wana jf.Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo ktk hali nzuri ani pm
Ongeza hela nikupe Samsung S5 s,kwa 500,000/ Tumia vitu vizuriHbr wana jf.Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo ktk hali nzuri ani pm
Uko wapiiiiiiiiiiiii, au tubashiri ulipo,Hbr wana jf.Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo ktk hali nzuri ani pm
Anapata mkuu,usimkatishe tamaaLaki moja huwez pata smart phon ya ukweli broo.
Nimeshaku pm,holla at me.Hbr wana jf.Nina laki moja cash naitaji smartphone iliyopo ktk hali nzuri ani pm
Ongeza 50 nikupe huawei g6 mpya,ngoja nikucheki PM.250 unanipa simu aina gani?
Huawei g6 mkuu.Laki 3 unanipa simu gani mdau
Tecno M3 nayo ni smartphone,lete 50,000 nikupe hiki kitecno,nicheck kwa 0713228915Laki moja huwez pata smart phon ya ukweli broo.